Tunatengeneza Payment Gateway

BunsellPay ni kampuni inayobobea katika kutengeneza mifumo ya malipo (Payment Gateway) kwa website na mobile applications. Tunakusaidia wewe au biashara yako kuwa na mfumo wako mwenyewe wa kukusanya malipo kwa urahisi, usalama na gharama nafuu.

💳 ⚡

Huduma Zinazotolewa

Tunatengeneza mifumo ya malipo kulingana na mahitaji yako

🛒

Payment Gateway kwa E-commerce

Kwa wale wanao uza bidhaa mtandaani

  • Integration na mikopo yote
  • Mobile money (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel)
  • Card payments (Visa, Mastercard)
  • Automatic invoice generation
📱

Mobile App Payment Integration

Kwa applications za Android na iOS

  • In-app purchases
  • Subscription management
  • Push notifications
  • Analytics dashboard
🔌

Custom Payment API

API maalum kwa mahitaji yako

  • RESTful API design
  • Webhook integration
  • Real-time processing
  • Security encryption

Kwa Nini BunsellPay?

⭐ UZOEFU WA MIAKA

Tumetengeneza mifumo ya malipo kwa makampuni makubwa na madogo kote Tanzania

🔒 USALAMA WA KIMATAIFA

Mifumo yetu inakidhi viwango vya kimataifa vya usalama (PCI compliant)

⚡ USAIDI WA 24/7

Tunawasaidia wateja wetu muda wote, siku 7 kwa wiki

Baadhi ya Kazi Zetu

Tumewasaidia wateja mbalimbali kuwa na mifumo yao ya malipo

💳
Mfumo wa Malipo - Jiji Mall

Payment gateway kwa duka la mtandaoni lenye wateja 10,000+

📱
App ya Taxi - QuickRide

Mfumo wa malipo kwa app ya taxi (M-Pesa, Card, Cash)

🏦
School Fees System - St. Mary's

Mfumo wa kulipia karo mtandaoni kwa shule

Unataka Mfumo Wako wa Malipo?

Tengenezesha payment gateway yako leo, malipo kwa awamu yanakubalika

PATA USAIDI SASA
📱 WASILIANA NASI WHATSAPP DIRECT 0615 866 753